Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja mkoa ulipoza mda huu wakuu...
katika kuhangaika huko na kule kutafuta mtaji
hatimae nimefanikiwa kupata iko kias kidogo,,
biashara gani inaweza kunitoa?? ndugu zangu tuweke utani pembeni nipo serious,, nahitaji msaada mana nimefikilia sana sijapata jibu_
Upo serious Mkuu au unafanya masiala .....sa kwan iyo 6m umeipataje au ulithi buy de way vya kufanya ni vingi sana .............za mda huu wakuu...
katika kuhangaika huko na kule kutafuta mtaji
hatimae nimefanikiwa kupata iko kias kidogo,,
biashara gani inaweza kunitoa?? ndugu zangu tuweke utani pembeni nipo serious,, nahitaji msaada mana nimefikilia sana sijapata jibu_
Unaijua bei ya bajaji mkuu?Nunua bajaji weka barabarani ipige kazi
Mkuu milioni sita bajaji anapataUnaijua bei ya bajaji mkuu?
Labda haya makampuni kama RE lakini ukitaka Bajaji imara ya Tvs ni 7.2 na mpaka uiweke barabarani inakimbilia 8Mkuu milioni sita bajaji anapata
Kuna jamaa kanunua TVS mpya kabisa kwa 6.5 japo mkuu hapo ana 6m kamili.Mkuu milioni sita bajaji anapata
Hapana. Tvs ni 7.2 pamoja na kusajili TRAKuna jamaa kanunua TVS mpya kabisa kwa 6.5 japo mkuu hapo ana 6m kamili.