Kwa Shilingi milioni 6, ni biashara gani nzuri ambayo inaweza kunitoa

Kwa Shilingi milioni 6, ni biashara gani nzuri ambayo inaweza kunitoa

za mda huu wakuu...

katika kuhangaika huko na kule kutafuta mtaji
hatimae nimefanikiwa kupata iko kias kidogo,,
biashara gani inaweza kunitoa?? ndugu zangu tuweke utani pembeni nipo serious,, nahitaji msaada mana nimefikilia sana sijapata jibu_
Japo ushauri wangu ni mdogo sana lakini kama utausikiliza nakushauri utafute sehemu nzuri fungua spare za pikipiki utazungishe hela yako vizuri tuu na faida utaiona la umuhimi umpate fundi mzuri.
Na fundi humlipi wewe anajilipa mwenyewe kutokana na kazi anayoifanya wewe ni kuuza spare tuu.
 
za mda huu wakuu...

katika kuhangaika huko na kule kutafuta mtaji
hatimae nimefanikiwa kupata iko kias kidogo,,
biashara gani inaweza kunitoa?? ndugu zangu tuweke utani pembeni nipo serious,, nahitaji msaada mana nimefikilia sana sijapata jibu_
Biashara ya kuni n yenye faida kubwa compare na gharama unazotumia ikiwa uko Makin na anaekuletea awe makini pia...... Kwa kifup kwa mtaj wa milion mbili utapata mizigo 120 ambpo mzgo mmoja n kuni 25 so jumla kuni 3000...... Gharama kwa kuuza wew huku mjini kuni moja ni buku....... Inategemea na eneo huku kwet ukonga kuni hzo huisha kwa wiki mbili au hta kabla ya hpo.......

Note : vibal n Juu ya anaekuletea mzgo na ni vizur nawe ukawepo kuhakikisha kila kitu kinaenda Sawa....
 
biashara gani mkuu
Uko wapi mkuu biashara yenyewe ni nafaka hasa hasa mchele unapanga frame, unanunua mizani mbili ndogo na kubwa then unashusha mzigo mm naomba niwe nakuletea mzigo kwa maelezo zaid ya biashara hii nicheki humu 0656260132
 
Back
Top Bottom