Fibanochi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 476
- 1,018
Labda used hy....mara ya mwisho nimenunua tvs 2016 ilikua 7mKuna jamaa kanunua TVS mpya kabisa kwa 6.5 japo mkuu hapo ana 6m kamili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda used hy....mara ya mwisho nimenunua tvs 2016 ilikua 7mKuna jamaa kanunua TVS mpya kabisa kwa 6.5 japo mkuu hapo ana 6m kamili.
Japo ushauri wangu ni mdogo sana lakini kama utausikiliza nakushauri utafute sehemu nzuri fungua spare za pikipiki utazungishe hela yako vizuri tuu na faida utaiona la umuhimi umpate fundi mzuri.za mda huu wakuu...
katika kuhangaika huko na kule kutafuta mtaji
hatimae nimefanikiwa kupata iko kias kidogo,,
biashara gani inaweza kunitoa?? ndugu zangu tuweke utani pembeni nipo serious,, nahitaji msaada mana nimefikilia sana sijapata jibu_
Biashara ya kuni n yenye faida kubwa compare na gharama unazotumia ikiwa uko Makin na anaekuletea awe makini pia...... Kwa kifup kwa mtaj wa milion mbili utapata mizigo 120 ambpo mzgo mmoja n kuni 25 so jumla kuni 3000...... Gharama kwa kuuza wew huku mjini kuni moja ni buku....... Inategemea na eneo huku kwet ukonga kuni hzo huisha kwa wiki mbili au hta kabla ya hpo.......za mda huu wakuu...
katika kuhangaika huko na kule kutafuta mtaji
hatimae nimefanikiwa kupata iko kias kidogo,,
biashara gani inaweza kunitoa?? ndugu zangu tuweke utani pembeni nipo serious,, nahitaji msaada mana nimefikilia sana sijapata jibu_
Uko wapi mkuu biashara yenyewe ni nafaka hasa hasa mchele unapanga frame, unanunua mizani mbili ndogo na kubwa then unashusha mzigo mm naomba niwe nakuletea mzigo kwa maelezo zaid ya biashara hii nicheki humu 0656260132biashara gani mkuu