Kwa Shilingi milioni 6, ni biashara gani nzuri ambayo inaweza kunitoa

sosssy

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
668
Reaction score
537
za mda huu wakuu...

katika kuhangaika huko na kule kutafuta mtaji
hatimae nimefanikiwa kupata iko kias kidogo,,
biashara gani inaweza kunitoa?? ndugu zangu tuweke utani pembeni nipo serious,, nahitaji msaada mana nimefikilia sana sijapata jibu_
 
Taja mkoa ulipo
 
Upo serious Mkuu au unafanya masiala .....sa kwan iyo 6m umeipataje au ulithi buy de way vya kufanya ni vingi sana .............
 
Mkuu mimi nina idea babu kubwa tatizo mtaji. Ukitaka njoo tuunganishe nguvu tufanye makubwa.
 
Cheza tatumzuka, biko, mojaspesho mara nyingi hutatoka kama ulivoingia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…