mpya unapata kwa M7 tvcUnaijua bei ya bajaji mkuu?
Pamoja na usajili ni 7.2mpya unapata kwa M7 tvc
Mkuu ukishindwa kabisa njoo ufanye biashara na mimiza mda huu wakuu...
katika kuhangaika huko na kule kutafuta mtaji
hatimae nimefanikiwa kupata iko kias kidogo,,
biashara gani inaweza kunitoa?? ndugu zangu tuweke utani pembeni nipo serious,, nahitaji msaada mana nimefikilia sana sijapata jibu_
Labda haya makampuni kama RE lakini ukitaka Bajaji imara ya Tvs ni 7.2 na mpaka uiweke barabarani inakimbilia 8
Bajajikirikuu au bajaj???
Acha kabisa kufanya huo upuuzi, endelea kutafuta uwekezaji halisi kuliko hizo shady investment.ausio
Aakwann mkuu?? mbn unanitisha ndugu
Msaada wakoo mkuuFungua duka la dawa muhimu lakini ufuate masharti yake