Kwa shoo ya Alikiba jana, nakubaliana na Zuhura

Kwa shoo ya Alikiba jana, nakubaliana na Zuhura

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Unaingia kwenye show unazurura uwanjani ukivimba kuonyesha ufalme wako.

Kwanini usituonyeshe ufalme wako kwenye kazi yako. Mwisho wa siku ikawa ni makelele na uchawa mwingi..

Yaani huyu msanii hata intro tu ya show nayo ni taabu... Sijui ni kujikweza na kiburi tu..

Screenshot_20230807-075350~2.jpg
 
Unaingia kwenye show unazurura uwanjani ukivimba kuonyesha ufalme wako.

Kwanini usituonyeshe ufalme wako kwenye kazi yako. Mwisho wa siku ikawa ni makelele na uchawa mwingi..

Yaani huyu msanii hata intro tu ya show nayo ni taabu... Sijui ni kujikweza na kiburi tu..

View attachment 2710672
Kwan unateseka nini kila mtu na Maisha yake tafuta fedha mkuu acha kuongelea watu wasio na faida kwako
 
Upuuzi kabisa, sijawahi na sintowahi kulipa kiingilio eti nikamwone msanii wa bongo. Yaani nikulipe Pesa badala ya kutulia ili wewe utumbuize unaanza kuniiimbisha tana Mimi? Say yoyooo!!! Mikono juu, kulia kushoto,,,,kulia,,, kushoto...ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom