Kwa shughuli za kiufundi karibu Hydroventure Technical Services tunapatikana mkoani Mwanza

Karibu tukufungie mifumo ya umeme wa nishati ya jua kwa ajiri ya matumizi ya kuwasha pump za maji kwa ajiri ya matumizi yako iwe nyumbani,viwandani,hospitalini,mahotelini na pia katika kilimo cha umwagiliaji...

Pia tunafanya ufungaji wa umeme wa ziada(Backup System) kulingana na uhitaji wako wewe mteja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…