Kwa sifa hizi anaweza kusoma chuo cha uhamiaji?

Kwa sifa hizi anaweza kusoma chuo cha uhamiaji?

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
43,242
Reaction score
60,939
Salamu sana.

Ni binti yangu. Amemaliza fom six. Kwa sasa yuko JKT kwa mujibu wa sheria.

Amesema anataka kuingia uhamiaji. Ufaulu wake ni 1.7. Alisoma HGL. Bado hatujawasilisha fom za kujiunga chuo.

Naomba ushauri wenu.
 
Salamu sana.

Ni binti yangu. Amemaliza fom six. Kwa sasa yuko jkt kwa mujibu wa sheria.

Amesema anataka kuingia uhamiaji. Ufaulu wake ni 1.7. Alisoma HGL. Bado hatujawasilisha fom za kujiunga chuo.

Naomba ushauri wenu.

Uhamiaji au U-polisi?
 
Back
Top Bottom