Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa sasa ndo tueleweshane yaani sijui nvidia ndo nini wala gpu ndo nini ila ninacho kijua nina graphic za inter pekeeGta V inahitaji graphic ya nvidia au amd, hiyo pc yako ina dedicated gpu?
Litakubali ila kama litasumbua inabidi upunguze setting za graph.hapa sasa ndo tueleweshane yaani sijui nvidia ndo nini wala gpu ndo nini ila ninacho kijua nina graphic za interpekee
Nvidia na amd ninaina za graphic card na zinakuja na ukubwa tofauti tofauti na kadri inavyo kuwa kubwa ndio computer nayo inakuwa na nguvu zaid ya kuplay game zenye ubora zaidhapa sasa ndo tueleweshane yaani sijui nvidia ndo nini wala gpu ndo nini ila ninacho kijua nina graphic za inter pekee