Kwa sifa za kompyuta yangu hii kweli nitaweza kucheza GTA 5

Kwa sifa za kompyuta yangu hii kweli nitaweza kucheza GTA 5

Wakujilipua

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2018
Posts
1,584
Reaction score
1,393
kama kichwa cha habali kisemavyo nahitaji kucheza gta 5 je hii sifa ya pc yangu kweli inaweza kuhimili mikiki ?
 
Attachments

  • System 6_7_2020 3_52_20 AM.png
    System 6_7_2020 3_52_20 AM.png
    39.3 KB · Views: 5
Gta V inahitaji graphic ya nvidia au amd, hiyo pc yako ina dedicated gpu?
 
Gta V inahitaji graphic ya nvidia au amd, hiyo pc yako ina dedicated gpu?
hapa sasa ndo tueleweshane yaani sijui nvidia ndo nini wala gpu ndo nini ila ninacho kijua nina graphic za inter pekee
 
hapa sasa ndo tueleweshane yaani sijui nvidia ndo nini wala gpu ndo nini ila ninacho kijua nina graphic za inter pekee
Nvidia na amd ninaina za graphic card na zinakuja na ukubwa tofauti tofauti na kadri inavyo kuwa kubwa ndio computer nayo inakuwa na nguvu zaid ya kuplay game zenye ubora zaid
 
Back
Top Bottom