ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Kama sio Airbus, utatumia Coca-cola au Pepsi, utakwepa huko utakamatwa Kwenye Colgate. Haya utakimbia iphone lakini utabanwa Kwenye fb, insta, Whatsapp. Kama uko kijijini, una kitorch Cha mchina utapiga tu cm na network na ya beberu.
tasema Mimi ctumii cm lakini utavaa mtumba wa mu America. Kwenye madawa ya hospital yupo. Orodha ni ndefu wengine muongeze
tasema Mimi ctumii cm lakini utavaa mtumba wa mu America. Kwenye madawa ya hospital yupo. Orodha ni ndefu wengine muongeze