Kwa Simba hii, haihitaji kukumbatia wachezaji hata kama tunajua ana uwezo wa juu

Kwa Simba hii, haihitaji kukumbatia wachezaji hata kama tunajua ana uwezo wa juu

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Tumeshuhudia msimu uliokuwa na wachezaji wasio na ari kabisa ya mafanikio.Wachezaji tunaowajua kwa uwezo wao waliweza kutushangaza kila wabapoingia uwanjani kwani ilikuwa nadra kutoruhusu bao.

Walionekana wanacheza kwa uchovu sana kitu ambacho naamini ni lugha ya kinya ya kusema mimechoka niruhusuni niende nitakapo .Hivyo natamani mchezaji kama Chama na Inonga waruhusiwe kuondoka ili kutoa nafasi kwa vijana.
 
Sasa leo simba inakuwaje topic, ipo huko Tandale imejifia...... Acheni wivu

Hivi tangu lini kocha akavaa suruali kubwa kama mfuko wa machine ya kusaga?
Huo ndiyo unaitwa upumbavu.Suruali ya mtu mzima inakusumbua nini?Wewe vaa shumizi zako na vipedo tu hujakatazwa.
 
Sasa leo simba inakuwaje topic, ipo huko Tandale imejifia...... Acheni wivu

Hivi tangu lini kocha akavaa suruali kubwa kama mfuko wa machine ya kusaga?
Haaa haaa haaa
 
Kuondoa wachezaji sio kitu rahisi kama kufukuza kijana wa dukani useme utampa mshahara wa mwezi aondoke zake.

Kwenye mpira kuna kipengere cha gharama za kuvunja mkataba, ili umfukuze mchezji inabidi umlipe gharama za kuvunja mkataba, hizo gharama huwa juu sana, hii ni sababu ya timu kuzikatisha tamaa timu zingine zisimsumbue mchezaji kabla hajamaliza mkataba wake, labda ziwe ni timu zenye uwezo zaidi kifedha.
 
Back
Top Bottom