Huo ndiyo unaitwa upumbavu.Suruali ya mtu mzima inakusumbua nini?Wewe vaa shumizi zako na vipedo tu hujakatazwa.Sasa leo simba inakuwaje topic, ipo huko Tandale imejifia...... Acheni wivu
Hivi tangu lini kocha akavaa suruali kubwa kama mfuko wa machine ya kusaga?
Haaa haaa haaaSasa leo simba inakuwaje topic, ipo huko Tandale imejifia...... Acheni wivu
Hivi tangu lini kocha akavaa suruali kubwa kama mfuko wa machine ya kusaga?