Kwa simba hii sijui??

Kwa simba hii sijui??

jumaaharuna

Member
Joined
Jul 5, 2022
Posts
28
Reaction score
22
Hivi simba nayo ipo kwenye michuano ambayo mamelod sundown, Zamaleki, Es Tunis, Wydad Ac wapo?
 
Hao wote ni vibonde wa Simba mkuu, Simba kwa sasa ni next level[emoji23][emoji23][emoji23]... Simba ipo level moja na Liverpool, Napol na Arsenal
 
Huyo zamalek anafanya nini kwenye hii michuano yeye anasusua kama simba tu usitishike na historia yao
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naipongeza serikali kwa kununua vichwa na Treni chakavu sbbu ingenunua mpya wangepanda watu wenye mtindio wa ubongo kama ww mleta mada kama nchi tungepata hasara kubwa
 
Sijui mnawaza kwa kutumia nini. As vital yuko mkiani, El mereikh mkiani, vipers mkiani. Yaani kwa Afrika mashariki na kati na kusini ni Simba na Al hilal ndio wenye matumaini ya kufika robo. Halafu hivi Celtic anavyokuwa anashiriki uefa yuko level moja na PSG au real madrid? Kosa la simba ni nini?
 
Hao wote ni vibonde wa Simba mkuu, Simba kwa sasa ni next level[emoji23][emoji23][emoji23]... Simba ipo level moja na Liverpool, Napol na Arsenal

Liverpool nayo unaitaja au ndo kuikota Man U mbovu,,,,
 
Back
Top Bottom