jumaaharuna
Member
- Jul 5, 2022
- 28
- 22
Hivi simba nayo ipo kwenye michuano ambayo mamelod sundown, Zamaleki, Es Tunis, Wydad Ac wapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisikika mbumbumbu mmoja aliyeshiba makande akisifia timu yakeHao wote ni vibonde wa Simba mkuu, Simba kwa sasa ni next level[emoji23][emoji23][emoji23]... Simba ipo level moja na Liverpool, Napol na Arsenal
Naipongeza serikali kwa kununua vichwa na Treni chakavu sbbu ingenunua mpya wangepanda watu wenye mtindio wa ubongo kama ww mleta mada kama nchi tungepata hasara kubwa
Hao wote ni vibonde wa Simba mkuu, Simba kwa sasa ni next level[emoji23][emoji23][emoji23]... Simba ipo level moja na Liverpool, Napol na Arsenal