Kwa Simba hii tutegemee aibu huko Caf Super League

Ushauri wangu hii timu ingejikita zaidi kwenye kombe la Azam Federation
Tatizo Azam Federation Cup halikupi tiketi tena ya kucheza CAF maana michuano yote inafutwa inabaki Super League. Sasa utachagua nini ukipewa hivyo viwili, upewe tiketi ya CAF au ucheze michuano ya kutafuta tiketi ya CAF? 🤣 🤣 🤣
 
Huo woga wenu ndiyo unaowafanya mcheze kombe la losers palipo na timu vibonde .Maana mnajua CAFCL kuna timu bora mtakula 6 hadi 8 kila mechi
 
Kwani super league inaanza lini
Hata TP Mazembe wamepigwa 2 - 0 nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…