Kwa Simba hii, watani zetu Yanga mkajipange

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
242
Reaction score
676
[emoji460][emoji460] SIMBA SPORTS CLUB [emoji460][emoji460]

Mr Zakayo Junior

Simba ya msimu huu ni nzuri na imekamilika kila IDARA na ina watu makini na watulivu sana kiuchezaji na ktk kufanya mashambulizi na kucheza man to man na kupiga set pieces na kucheza kwa ubunifu mkubwa sana ila kikubwa ni KUJITUMA na kutofanya MAKOSA yasiyo ya LAZIMA kiuchezaji ili Kocha aendelee kukuamini kupitia uchezaji wako

MAGORIKIPA
Manula , Kakolanya na Salim - Hapa kuna vita kidogo ya namba maana hao wawili ni wazuri sana na pia Dogo Salim anakuja vzr pia so wasitegemee mteremko

BEKI NAMBA 2
Shomari Kapombe - Sina shaka na yeye na hana mbadala ktk nafasi hiyo kwa 70% ila yupo kiraka Nyoni mtu mzima Dawa na kidogo Wilson Juma atasaidia

BEKI NAMBA 3
Ukisikia vita ya namba , basi itakuwa ktk nafasi ya Beki 3 maana ina mafundi wawili wazuri sana na wote wao National Team , Zimbwe Jr na Gadiel Michael , kiukweli hapa Kocha ataumiza kichwa sana japo navyoona kila mmoja atacheza mechi sawa na mwenzake ila ngoja tusubiri Ligi ianze

BEKI ZA KATI ( Namba 4&5 )
Yupo Erasto Nyoni ( mutu ya kazi - mzee wa Kanyaga ) , Pascal Wawa ( Jitu katili ) , Tairone Santos Da Silva ( Mapafu ya mbwa ) ,Gerson Fraga Veira ( mashine ya kazi ) , Yusuph Mlipili ( mutu jasiri na halembi mwandiko ) , Paul Bukaba ( Fagio la chuma ) , Kennedy Wilson Juma ( Ngurumo za radi )
Hapa pia kuna utamu wake ktk kupata nafasi maana walikuwepo wazuri na wameongezwa wazuri tena hahahaha kiukweli Patrick ataumiza kichwa kuhusu nani aanze na kwa wakati gani ila japo ni rahisi kujua ila ni vigumu kutambua kwa sasa

VIUNGO
Jonas Mkude ( mguu wa chuma ) , Sharif El Shiboub ( mrithi wa Iron Man ( Kotei [emoji26] i'll mic u more ) , Mzamiru Yassin ( baba la baba ) , Clatous Chota Chama ( funga kazi ) , Hassan Dilunga ( HD ) Super Sub ) , Saidi Hamis Ndemla ( Shuti Jiwe ) , Francis Kahata ( mutu ya udambwi dambwi )
Ktk nafasi ya kiungo siongei kitu ila biashara asbh jioni mahesabu maana kwa waliokuwepo na walioletwa ni wazi kutakuwa na makubwa sana msimu wa 2019/20

WASHAMBULIAJI WA KATI NA PEMBENI
Ibrahim Ajibu Migomba ( mutu kwao au Fundi wa set pieces na mipira iliyokufa ) , Miraji Athumani ( nani atamfunga paka kengere ) , Deogratius Mukok Kanda ( Mzee baba ) , Rashidi Juma ( Kibelenge ) , Meddie Kagere ( Mzee wa tetema ) , John Bocco ( Cha kale dhahabu ) , Wilker Henrique Da Silva ( Fundi wa magori )
Kiukweli patakuwa patamu sana maana kuna mashine za kazi ktk eneo hili na naona Vita ya namba ikishika kasi sana maana kila Mchezaji ana skills na ubunifu ktk kucheza na kufunga

Nb: Mrithi wa Okwi hajatajwa alafu na yeye ni mshambuliaji [emoji39] tukutane SIMBA DAY

SIMBA NGUVU MOJA
 
Uchebe nae anasema kafanyiwa surprise kwa wale wabrazil na yeye hajawahi kuwaona wakicheza, alitakiwa kusema na yeye ameona clip zao kule youtube hapo ndio utajua mfumo wa soka letu!!
 
Uchebe anataka kufukuzwa..(wachezaji wa clip za YouTube)mikia wamesajili wachezaji wote bila ya consultation ya Uchebe..Timu bovu kuliko last season..mishahara ya wabrazil angeongezewa Okwi..Kotei pengo hasa mechi za mikoani..time will tell
 
[emoji460][emoji460] SIMBA
SPORTS CLUB [emoji460]
[emoji460]

Mbona una hofu wewe mwenyewe!
Unasema wakicheza kwa bidii huko siyo kujiamini bali hiyo ni hofu ya aibu !
 
IMG_20190712_050715.jpg
 
Attachments

  • IMG_20190712_050715.jpg
    IMG_20190712_050715.jpg
    98 KB · Views: 19

Hebu tujiulize kwanza,hivi hao wa brazil wenu mpaka wakaamua kutua SIMBA,ina maana SIMBA iko vizuri kiuchumi kuliko hata timu walizotokea huko Brazil sijui India.Sasa jaribu tu kuimagine,hiyo timu ya Brazil/India izidiwe kiuchumi na SIMBA ,nadhani itakuwa ipo katika daraja la tatu la Ndondo la huko Brazil.Subirini ligi inaanza soon,hao Brazil mtawatimua wenyewe,mmoja mmoja!
 
Uchebe anataka kufukuzwa..(wachezaji wa clip za YouTube)mikia wamesajili wachezaji wote bila ya consultation ya Uchebe..Timu bovu kuliko last season..mishahara ya wabrazil angeongezewa Okwi..Kotei pengo hasa mechi za mikoani..time will tell
Kaletewa wacheza cricket toka India, huku mbumbumbu wameambiwa ni wabrazil
 
Mwaka huu msiendekeze ule mtindo wenu na TFF wa kuwekewa viporo 20 wakati timu zingine zimebaki na mechi 5. Mtindo huu uliwawezesha kuwa mabingwa wa kuteuliwa na TFF.
Tusha wazoe kwa kulala mika kama mashindano ya Afcon kocha wenu analalamikia tu sembuse hapa bongo ko jiandaene nimwendo wakukanyaga vyura wote msimu ulio isha tumesepa na points 4 msimu huu tunasepa na points zote6 za vyura
 
Back
Top Bottom