Kwa Simba SC hii kama taifa tujiandae kwa aibu

Kwa Simba SC hii kama taifa tujiandae kwa aibu

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
38,283
Reaction score
97,793
Leo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo.

Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba sitoshangaa wakifungwa hapa nyumbani.

Soma Pia:
NB: SIMBA SC MSILIAIBISHE TAIFA.
Ni game plan. Wala sio chini ya kiwango.
Thou kuna wachezaji wametuangusha kwa kutotimiza majukumu yao vyema.

Al Ahli Tripoli walikamia kuimaliza mechi kwao na imeshindikana.

#Tukutane LUPASO.
 
Leo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo.

Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba sitoshangaa wakifungwa hapa nyumbani.

Soma Pia:
NB: SIMBA SC MSILIAIBISHE TAIFA.
Sio matokeo mabaya kwa Simba, kikubwa Taifa wapambane. Japo Walibya wako vizuri. Nadhani ni kipimo sahihi kwa Simba kwenda makundi.
 
Back
Top Bottom