Kwa Simba SC hii kama taifa tujiandae kwa aibu

Kwa Simba SC hii kama taifa tujiandae kwa aibu

Leo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo.

Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba sitoshangaa wakifungwa hapa nyumbani.

Soma Pia:
NB: SIMBA SC MSILIAIBISHE TAIFA.
Umeongea utopolo...
Nadhani ulitaka tuwe kama nyie na CRB mkalishwa halua halua... watu wameenda kwa tahadhari...
 
Simba wanadharau wanajua kabisa kagoma ni mali ya yanga na bado wanamchezesha.

Yanga teyari wameshawatonya waarabu barua imeshaandikwa kesho inapelekwa CAF.😂😄😆😀😀😀😃😃😁
Tuwaachie huyo kagoma awasaidie kidogo maana wana hali mbaya.

Kuna mda nmewaza hivi hii timu ndio ya kuilinganisha na Dar young africans kweli? Wanatukosea sana.
 
Simba wanadharau wanajua kabisa kagoma ni mali ya yanga na bado wanamchezesha.
Yanga teyari wameshawatonya waarabu barua imeshaandikwa kesho inapelekwa CAF.😂😄😆😀😀😀😃😃😁

1726428208205.png
 
Mleta mada tuliza kishundu. haueleweki, mara hao waarabu wako vizuri, mara Simba ni mbovu. Wameshindwa kutufunga mbele ya mashabiki wao waje kutufunga kwa mkapa tukiwa full house?
Muda utasema, kama mashabiki wanacheza mtashinda.
 
Ni game plan. Wala sio chini ya kiwango.
Thou kuna wachezaji wametuangusha kwa kutotimiza majukumu yao vyema.

Al Ahli Tripoli walikamia kuimaliza mechi kwao na imeshindikana.

Tukutane LUPASO.
Tukutane LUPASO
 
Kwani si unaona kwa presha ile ya mashabiki na wachezaji wameweza kumantain kucheza na kutokutoka kwny focus huoni watakua na hari kubwa wakiwa na wao kwny uwanja wa nyumbani?
Wanasimba mkubali mkatae timu yenu sio tishio tena kama ilivyokuwa misimu miwili nyuma. Huu ukweli mtaukubali mkitoka.
 
Back
Top Bottom