Kwa Simba SC hii kama taifa tujiandae kwa aibu

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
38,283
Reaction score
97,793
Ni game plan. Wala sio chini ya kiwango.
Thou kuna wachezaji wametuangusha kwa kutotimiza majukumu yao vyema.

Al Ahli Tripoli walikamia kuimaliza mechi kwao na imeshindikana.

#Tukutane LUPASO.
 
Sio matokeo mabaya kwa Simba, kikubwa Taifa wapambane. Japo Walibya wako vizuri. Nadhani ni kipimo sahihi kwa Simba kwenda makundi.
 
Simba wanadharau wanajua kabisa kagoma ni mali ya yanga na bado wanamchezesha.

Yanga teyari wameshawatonya waarabu barua imeshaandikwa kesho inapelekwa CAF.πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…