Kwa singeli Kabudi unatukosea Watanzania huujui vizuri huo mziki. Bongo Fleva ndio mziki rasmi unaoitambulisha Tanzania

Kapenda yale matako, ule mziki huwezi angalia na watu unaowaheshimu.
 
Muziki wa uswahilini uliojaa vitendo vya ngono ndio uwe wa Tanzania? Bora ingekuwa dansi
Kuna watu wana engineer hio miziki nje ya nchi, kuna mtu mmoja nilimsikiza yeye ni mtanzania ila ni raia wa Nchi nyingine ya Ulaya nahisi km sio Uingereza basi ni Germany aliwahi kuizungumzia Singeli kwamba ndio mziki pekee uliojaa vionjo vya ngoma za tamaduni mbalimbali za Tanzania na ndio mziki ambao ukipangiliwa vizuri unaweza ukatutambulisha ila tu tatizo la singeli ni mziki usiotulia na mpangilio wa zile ala haziwi katika mpangilio unaotakiwa lakini ma-producer wanaweza kulifanyia kazi hilo wakaondoa kasi, singeli ilianza kwa kukimbiza mbele mdundo kwenye VLC au Virtual DJ kisha inarekodiwa baada ya hapo jamaa wakawa wanaingiza sauti kwenye masherehe ya Vigodoro ndipo ilipotokea huko kwenye Vigodoro Uswahilini ambavyo sasa hivi Vigodoro vimepigwa marufuku ila singeli imeachwa
 
Tatizo ni akili za wanaomba singeli yani ubongo wao wameuelekeza kwenye ngono, ushoga na bangi yani mtu anaimba niache nidange hata kwa mpalange na watu wanashangilia?
 
Ndio hivyo ila midundo ndio asili ya ngoma zote zinachanganywa humo sema waimbaji sasa wanaimba ushubwada ushubwada ingawa wapo baadhi wanaoimba ujumbe ila sio wote wengi wanaimba mipasho uimbaji wa Singeli ni taarabu iliyo boreshwa
 
Kuna kipindi Magu alikuwa anawatukana Hawa wazee tukawa tunamlaumu kumbe.........!
 
Back
Top Bottom