Kwa Single Fathers

mumemwema

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
2,094
Reaction score
1,580
Natumai muwazima wote . Kwanza naomba nitangulize shukurani za kusoma hii Thread yangu.

Mimi ni mwanamke umri 25-30 . Natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa katika mahusiano ya kiuchumba na kuelekea Ndoa. Naomba tafadhali awe mwenye watoto/ Mtoto wasiozidi 1-2.

Kama una zaidi ya hao nakuomba tafadhali unijulishe pia Mchumba ninayemtafuta awe na umri kuanzia miaka 29-35 awe Tayari ameshamaliza ujana wake na yuko tayari kutulia na kuanza maisha ya ndoa na kujenga Familia.

Tafadhali naomba kama hauko tayari kuonyesha upendo Wa Kweli , kuowa , kulea familia au Hauna mtoti/ watoto naomba upite tuu.

Awe tayari kupima HIV na vinginevyo. Mkristo na sio Mkristo jina tafadhali.

Naomba kama uko tayari ni PM tuanze mawasiliano na kujuana pole pole.

Nashukuru kwa muda we nu na ni naomba mnisamehe kama nimemkwaza yeyote.

Asanteni sana.
 
....kwanini unadhani umemkwaza yeyote. Jukwaa huru hili mahali ambapo kila mmoja ana haki ya kueleza mawazo yake.

Hujaweka sifa zako
 
mumemwema unatafuta mwanaume???
 
Last edited by a moderator:
Hawa pasua kichwa wetu 29-35 wawe wamemaliza kula maisha ama ni gear tu wanabadili? Afu wewe una watoto wangapi?
 
Afu wanaume waliofiwa na wake zao wanaitwa WIDOWERS. Kila la heri ila jina lako tu mi hoi.
 

Kila lenye kheri though wewe hujaelezea upande wako.

Je wewe una watoto?
 
nina was was na ww...
 
mumemwema...... unatafta mume.......... halafu....
 
Last edited by a moderator:
Mbona unaomba saaana;
Halafu kwingine ni kama haujaeleweka ni as mwanaume pia unatafuta wakuowa,
rudia usahihishe hicho kiswangilishi chako.
 
Sasa kwanini ujiite mumemwema mamy huoni utachanganya watu?

Okay. Nilimaanisha kwa nimtakaye na nitakayempata, jina lake ndio hilo . Poleni kwa kuwachanganya. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…