Kwa Single Fathers

Kwa Single Fathers

me ni muislam, ila kama ukiwa tayari kubadili dini naweza kuoa mke wa pili. me nipo kwa ajili ya kunusuru wanawake.
 
Mi niko above that age limit lkn nnasifa zingine hizo unazotaka, vp sifai?
 
Natumai muwazima wote . Kwanza naomba nitangulize shukurani za kusoma hii Thread yangu.

Mimi ni mwanamke umri 25-30 . Natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa katika mahusiano ya kiuchumba na kuelekea Ndoa. Naomba tafadhali awe mwenye watoto/ Mtoto wasiozidi 1-2.

Kama una zaidi ya hao nakuomba tafadhali unijulishe pia Mchumba ninayemtafuta awe na umri kuanzia miaka 29-35 awe Tayari ameshamaliza ujana wake na yuko tayari kutulia na kuanza maisha ya ndoa na kujenga Familia.

Tafadhali naomba kama hauko tayari kuonyesha upendo Wa Kweli , kuowa , kulea familia au Hauna mtoti/ watoto naomba upite tuu.

Awe tayari kupima HIV na vinginevyo. Mkristo na sio Mkristo jina tafadhali.

Naomba kama uko tayari ni PM tuanze mawasiliano na kujuana pole pole.

Nashukuru kwa muda we nu na ni naomba mnisamehe kama nimemkwaza yeyote.

Asanteni sana.
Ulifanikiwa kumpata mume mwema?
Mrejesho tafadhali
 
Huo umri wa 25-30 maana yake nini?Unashindwa kutaja umri wako halisi ili watu wajipime?
 
Back
Top Bottom