- Thread starter
- #21
Unaonekana (kimawazo yangu) unahitaji mume weye!Utapata.
Amen. Asante mpendwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana (kimawazo yangu) unahitaji mume weye!Utapata.
Ulifanikiwa kumpata mume mwema?Natumai muwazima wote . Kwanza naomba nitangulize shukurani za kusoma hii Thread yangu.
Mimi ni mwanamke umri 25-30 . Natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa katika mahusiano ya kiuchumba na kuelekea Ndoa. Naomba tafadhali awe mwenye watoto/ Mtoto wasiozidi 1-2.
Kama una zaidi ya hao nakuomba tafadhali unijulishe pia Mchumba ninayemtafuta awe na umri kuanzia miaka 29-35 awe Tayari ameshamaliza ujana wake na yuko tayari kutulia na kuanza maisha ya ndoa na kujenga Familia.
Tafadhali naomba kama hauko tayari kuonyesha upendo Wa Kweli , kuowa , kulea familia au Hauna mtoti/ watoto naomba upite tuu.
Awe tayari kupima HIV na vinginevyo. Mkristo na sio Mkristo jina tafadhali.
Naomba kama uko tayari ni PM tuanze mawasiliano na kujuana pole pole.
Nashukuru kwa muda we nu na ni naomba mnisamehe kama nimemkwaza yeyote.
Asanteni sana.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mumemwema anatafuta wa kuoa, ole wako wewe mwanaume ujichanganye!