Kwa sisi wapenzi wa kitimoto

Kwa sisi wapenzi wa kitimoto

my web

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1,592
Reaction score
242
Kwa wapenzi wa nyama ya nguruwe, ktk kutafuta kitimoto kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa sehemu nyingi ambapo nguruwe anapikwa ni pachafu mazingira yake hayalidhishi.

Hii ni kwa nn?
Au kuna mtu humu anafahamu sehemu safi anapotengenezwa nikajionee
 
Nenda pale carribean karibu na bunge, kuna kitimoto swaafi wallah.
 
Njoo hapa Shekilango opposite na San Siro wanachoma kitomoto safi sana
 
Mama Kamche (Opposite na kanisa la Kakobe), safi jioni hivi karibu sana tuibariki Noah aka Mnyama.....!!!
 
Njoo hapa sinza kumekucha, tunatengeneza hiyo kitu kwa kutumia oven. Lainiiiii na tamu
 
kama uko bongo washington(Dodoma)fika jakana pale.piga kitu na bia laini.km uko mwanza njoo Digital pub mitaa ya Bugando.

mwanza nakujaga mara nyingi mkulu pande za igogo pepsi.nielekeza pasaka hii nitakuwa hapo
 
Njoo contena kitimoto mwake,shuka na njia ya aar hosptal
 
Back
Top Bottom