Kwa sisi wapenzi wa kitimoto

Kwa sisi wapenzi wa kitimoto

Mama Kamche (Opposite na kanisa la Kakobe), safi jioni hivi karibu sana tuibariki Noah aka Mnyama.....!!!

Mama kamche wachafu kwanza cku hizi wanalipua hawaivishi kabisa nshaumwa tumbo mara 2 pale recently. Ckushauri pale
 
Mama kamche wachafu kwanza cku hizi wanalipua hawaivishi kabisa nshaumwa tumbo mara 2 pale recently. Ckushauri pale

Sasa nihamie wapi Mkaguzi?? ila mie sijawahi kuumwa tumbo ujue pale...sili kila siku kivileee!
 
Last edited by a moderator:
kwa wapenzi wa nyama ya nguruwe.ktk kutafuta kitimoto kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa sehemu nyingi ambapo nguruwe anapikwa ni pachafu mazingira yake hayalidhishi.hii ni kwa nn.au kuna mtu humu anafahamu sehemu safi anapotengenezwa nikajinome

Unaweza kutuambia ni wapi hapo penye Mazingira Machafu ili tupafanyie kazi?
 
mapepo machafu yaliamriwa na yesu kwenda kwa nguruwe!!!soma mathayo
 
Ila kitimoto tamu na laini inapatikana sehemu chafu chafu lol Ndo maana majority ya vijiwe vya mnyama ni vya type hyo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nyuma ya TRA mwenge kuna bonge moja la kitimoto tam balaaaaaaaaaa!.....
 
Nenda Aviation,njia panda kitunda kuna kitu ya kienyeji inapatikana hapo,safi sana haina mafuta nusu kama tani,uliza Alphonse
:clap2: :flypig:
 
Back
Top Bottom