Uko nchi na mji gani mkuu, tukuelekeze ipasavyo.
Mama Kamche (Opposite na kanisa la Kakobe), safi jioni hivi karibu sana tuibariki Noah aka Mnyama.....!!!
Njoo hapa Shekilango opposite na San Siro wanachoma kitomoto safi sana
sawa mkuu usalama vip mitaa hiyo na vyangudoa
sawa mkuu usalama vip mitaa hiyo na vyangudoa
Vyangudoa tena.....
Inaelekea huyu anahitaji huduma nyingine na hii kitimoto ametumia kama gia ya kuingilia tuVyangudoa tena.....
sawa mkuu usalama vip mitaa hiyo na vyangudoa
Wewe unataka nyama au vyangu!?
Inaelekea huyu anahitaji huduma nyingine na hii kitimoto ametumia kama gia ya kuingilia tu
Teh machangu wapo kila kona mkuu hata magogoni kwa Fastjet wapo
kama uko bongo washington(Dodoma)fika jakana pale.piga kitu na bia laini.km uko mwanza njoo Digital pub mitaa ya Bugando.