sio kila anasema nguruwe ni uchafu ni muslim we mburula, tumia akili kidogo.
Samahani KamaJambazi hapo kwenye red ni Dodoma au Dar maana mate yameshajaa mdomoni
mate yamekudondoka nini mdada, njoo hapa nyumbani kwangu. Ukifika kumekucha fanya kuni-bip
lol..... nyumbani kwako hapo kwenye nyumba yenye mabati na milango eee?
Dodoma mkuu.
Hapo utakutana na watoto wa CBE na wale wa chuo cha utalii jirani na bunge na wabunge wa viti maalum.
hapo ukiwa na kitu cha baridi mambo yanaenda
Nyumba ya pili yake, ina geti nyeusi. ulizia wajingawatu.lol..... nyumbani kwako hapo kwenye nyumba yenye mabati na milango eee?
Kwa wapenzi wa nyama ya nguruwe,ktk kutafuta kitimoto kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa sehemu nyingi ambapo nguruwe anapikwa ni pachafu mazingira yake hayalidhishi.Hii ni kwa nn?au kuna mtu humu anafahamu sehemu safi anapotengenezwa nikajionee

Nguruwe ni Mnyama na si uchafu. Rekebisha basi usemi wako uwe more constructive. Mungu hakuumba uchafu bali aliumba Mnyama aitwaye Nguruwe. Hivyo basi, unaposema Nguruwe ni Uchafu unamaanisha kuwa Mungu aliumba uchafu which is not true.