Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Lwanga vipi?Kwa mtu anaejua mpira aki asses, Simba wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kucheza ligi kubwa ni wawili tu .. miquissone na onyango... na kidogooo tukiweka wa tatu anakuwa manula...
Wengine wote wana kiwango cha ligi ya Tz tu