Kwa mtu anaejua mpira aki asses, Simba wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kucheza ligi kubwa ni wawili tu .. miquissone na onyango... na kidogooo tukiweka wa tatu anakuwa manula...
Kwa mtu anaejua mpira aki asses, Simba wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kucheza ligi kubwa ni wawili tu .. miquissone na onyango... na kidogooo tukiweka wa tatu anakuwa manula...
Mkuu huu mjadala umeuleta wakati mbaya.......majirani zetu wana stress na matokeo ya mnyama kwa hiyo usitegemee michango yenye weledi zaidi ya mipasho...........
Kwa ufupi ukijitoa kwenye gunia la wivu na chuki utagundua kuwa mpira anaoucheza simba anaweza kucheza mahali popote duniani wanapocheza mpira na akapata matokeo.........