Kwa Skimming bora ya Nyumba yako usisite kututafuta..

FirstClass

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,148
Reaction score
1,470
Natumai Mu wazima wa afya..
Tunafanya Skimming bora na ya viwango vya juu kwa gharama nafuu..

Kazi ya Rangi ni kupendezesha, sasa unapokosea Skimming Jengo haliwezi kupendeza kamwe hata urudie Rangi Mara5..

Skimming haitakiwi kubaki na dosari ya Aina yetote..
(Achana na Skimming unamuuliza Fundi, aisee mbonau Ukuta/ Koplo hii inamawimbi haijanyooka? Ye anajibu hiyo haina shida boss😂😂)

Boss, ukipewa Majibu ya namna hiyo basi tayali Kuna shida hapo..

Skimming ndio Rangi yenyewe, ukikosea hapo basi ndio ushaliwa kichwa..

Sasa usisubiri nyumba yako ikosewe ndio utafute solutions, tupigie leo na utakuwa Balozi wa kazi zetu..

Si hilo tu, tunaweka mikanda ya Gypsum boardy kwa ubora wa Hali ya juu (Achana na Ile mikanda inawekwa huku maungio yakionekana 😂)

Lakini pia tunafanya Repair ya rangi..

Kwani we Huogopi mtani ? Ubaya Ubwela..

Karibu tukuhudumie..
 
Attachments

  • 20250404_094020.jpg
    20250404_094020.jpg
    396.9 KB · Views: 59
  • 20250404_093934.jpg
    20250404_093934.jpg
    349.4 KB · Views: 69
  • 20250404_094014.jpg
    20250404_094014.jpg
    425.7 KB · Views: 75
  • 20250404_093809.jpg
    20250404_093809.jpg
    221.7 KB · Views: 79
room ta 3.5m kwa 3m ndani mnapiga skimming kww shingap?
 
Natumai Mu wazima wa afya..
Tunafanya Skimming bora na ya viwango vya juu kwa gharama nafuu..

Kazi ya Rangi ni kupendezesha, sasa unapokosea Skimming Jengo haliwezi kupendeza kamwe hata urudie Rangi Mara5..

Skimming haitakiwi kubaki na dosari ya Aina yetote..
(Achana na Skimming unamuuliza Fundi, aisee mbonau Ukuta/ Koplo hii inamawimbi haijanyooka? Ye anajibu hiyo haina shida boss😂😂)

Boss, ukipewa Majibu ya namna hiyo basi tayali Kuna shida hapo..

Skimming ndio Rangi yenyewe, ukikosea hapo basi ndio ushaliwa kichwa..

Sasa usisubiri nyumba yako ikosewe ndio utafute solutions, tupigie leo na utakuwa Balozi wa kazi zetu..

Si hilo tu, tunaweka mikanda ya Gypsum boardy kwa ubora wa Hali ya juu (Achana na Ile mikanda inawekwa huku maungio yakionekana 😂)

Lakini pia tunafanya Repair ya rangi..

Kwani we Huogopi mtani ? Ubaya Ubwela..

Karibu tukuhudumie..
Kama fundi anapiga vizuri plasta na kuweka kioo, skiming ina kazi gani zaidi ya kuongeza garama? Ukimaliza kuweka kioo inafuata rangi ya mwanzo yaani prime coat na awamu 2 za rangi. Nimeona skiming inafanyika na prime coat inaanza hii naona kuwa ni kuongeza gharama. Mafundi wa siku hizi wavivu hawataki kuweka kioo kwenye plasta.
 
Aaha Mkuu, huwezi kwepa Gharama za Skimming.. Plata ya kioo mara nyingi hutumika nje kupunguza Gharama lakini huwezi itumia kwa ndani..
Mafundi wengi ni tatizo, wanaishi kwa kutegemeana..

Fundi tofali anapindisha anasema atanyoosha wa Plasta..

Fundi Plasta nae analipua kazi anasema atanyoosha wa Skimming..

Sasa ukiweka Fundi wa Skimming wa kawaida mwisho utamlaumu bure tu..

Chunguza, nyimba nyingi zina finishing mbovu sababu ni kutobaini makosa kama hayo..
 
Kama fundi anapiga vizuri plasta na kuweka kioo, skiming ina kazi gani zaidi ya kuongeza garama? Ukimaliza kuweka kioo inafuata rangi ya mwanzo yaani prime coat na awamu 2 za rangi. Nimeona skiming inafanyika na prime coat inaanza hii naona kuwa ni kuongeza gharama. Mafundi wa siku hizi wavivu hawataki kuweka kioo kwenye plasta.
Kuwekaje kioo? Fafanua kidogo.
 
Kuwekaje kioo? Fafanua kidogo.
Kuna Kioo cha Aina mbili ktk Ujenzi..

Kioo cha Skimming.
Huu ndio ufundi bora nilioumaanisha, ukuta hunyooka vizur, kila kitu hukaa mahali pake ie Koplo, Angle zaa kona badala ya kutumia kidole nk..
kazi ya msasa hufanyika kwa kurashi rashia ili kutokuondoa Powder iliyotumika kwa skimmin.. Huu ndio Ufundi sasa na mafundi asilimia 70 hawawezi..

Kioo cha Plasta..
Hapa fundi wa plasta atahitajika kuchapia vizuri ukuta huku ratio ya cement ikiwa kali kidogo ili kuleta smooth ya ukuta. Lakini baada ya mkono bao, atatakiwa kutumia Pass ya Skimming kwa kusawazisha na Sponge ( Boya )kwa kufuta mchanga mchanga uliosalia..
 
Kwa nje sio ndani mkuu..
Nashangaa mnavyogundua njia za kufanya ujenzi uwe ghali. Nyumba za zamani zina linta tu siku hizi beam inazungushwa juu ya kuta zote. Kulikuwa hakuna beam ya chini unapiga zege la sakafu tu lilitosha unaweka pvc ukuta unaendelea. Nyumba nayoishi ilijengwa 1980 bado ipo nzima ilijengwa hivyo.
 
Ahaha building materials ya zamani usiringanishe na sasa mkuu..
 
Back
Top Bottom