FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,148
- 1,470
Kama fundi anapiga vizuri plasta na kuweka kioo, skiming ina kazi gani zaidi ya kuongeza garama? Ukimaliza kuweka kioo inafuata rangi ya mwanzo yaani prime coat na awamu 2 za rangi. Nimeona skiming inafanyika na prime coat inaanza hii naona kuwa ni kuongeza gharama. Mafundi wa siku hizi wavivu hawataki kuweka kioo kwenye plasta.Natumai Mu wazima wa afya..
Tunafanya Skimming bora na ya viwango vya juu kwa gharama nafuu..
Kazi ya Rangi ni kupendezesha, sasa unapokosea Skimming Jengo haliwezi kupendeza kamwe hata urudie Rangi Mara5..
Skimming haitakiwi kubaki na dosari ya Aina yetote..
(Achana na Skimming unamuuliza Fundi, aisee mbonau Ukuta/ Koplo hii inamawimbi haijanyooka? Ye anajibu hiyo haina shida boss😂😂)
Boss, ukipewa Majibu ya namna hiyo basi tayali Kuna shida hapo..
Skimming ndio Rangi yenyewe, ukikosea hapo basi ndio ushaliwa kichwa..
Sasa usisubiri nyumba yako ikosewe ndio utafute solutions, tupigie leo na utakuwa Balozi wa kazi zetu..
Si hilo tu, tunaweka mikanda ya Gypsum boardy kwa ubora wa Hali ya juu (Achana na Ile mikanda inawekwa huku maungio yakionekana 😂)
Lakini pia tunafanya Repair ya rangi..
Kwani we Huogopi mtani ? Ubaya Ubwela..
Karibu tukuhudumie..
Aaha Mkuu, huwezi kwepa Gharama za Skimming.. Plata ya kioo mara nyingi hutumika nje kupunguza Gharama lakini huwezi itumia kwa ndani..Kama fundi anapiga vizuri plasta na kuweka kioo, skiming ina kazi gani zaidi ya kuongeza garama? Ukimaliza kuweka kioo inafuata rangi ya mwanzo yaani prime coat na awamu 2 za rangi. Nimeona skiming inafanyika na prime coat inaanza hii naona kuwa ni kuongeza gharama. Mafundi wa siku hizi wavivu hawataki kuweka kioo kwenye plasta.
Nitakutafuta pakiwa na kazi.. Usijalinaomba nifundishe kaz
room ta 3.5m kwa 3m ndani mnapiga skimming kww shi ap?
Nitaomba unitumie picha na location tafadhali..room ta 3.5m kwa 3m ndani mnapiga skimming kww shingap?
Kuwekaje kioo? Fafanua kidogo.Kama fundi anapiga vizuri plasta na kuweka kioo, skiming ina kazi gani zaidi ya kuongeza garama? Ukimaliza kuweka kioo inafuata rangi ya mwanzo yaani prime coat na awamu 2 za rangi. Nimeona skiming inafanyika na prime coat inaanza hii naona kuwa ni kuongeza gharama. Mafundi wa siku hizi wavivu hawataki kuweka kioo kwenye plasta.
Kuna Kioo cha Aina mbili ktk Ujenzi..Kuwekaje kioo? Fafanua kidogo.
Asante mkuuNitakutafuta pakiwa na kazi.. Usijali
Wewe sio fundi. Plasta unaweka kioo kama sakafu. Huhitaji hiyo skiming.Kuwekaje kioo? Fafanua kidogo.
Kwa nje sio ndani mkuu..Wewe sio fundi. Plasta unaweka kioo kama sakafu. Huhitaji hiyo skiming.
Nashangaa mnavyogundua njia za kufanya ujenzi uwe ghali. Nyumba za zamani zina linta tu siku hizi beam inazungushwa juu ya kuta zote. Kulikuwa hakuna beam ya chini unapiga zege la sakafu tu lilitosha unaweka pvc ukuta unaendelea. Nyumba nayoishi ilijengwa 1980 bado ipo nzima ilijengwa hivyo.Kwa nje sio ndani mkuu..
Ahaha building materials ya zamani usiringanishe na sasa mkuu..Nashangaa mnavyogundua njia za kufanya ujenzi uwe ghali. Nyumba za zamani zina linta tu siku hizi beam inazungushwa juu ya kuta zote. Kulikuwa hakuna beam ya chini unapiga zege la sakafu tu lilitosha unaweka pvc ukuta unaendelea. Nyumba nayoishi ilijengwa 1980 bado ipo nzima ilijengwa hivyo.