Kwa smartwatch, Google na Samsung hawana mpinzani

Kwa smartwatch, Google na Samsung hawana mpinzani

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Kwa wale wapenzi wa hizi Smart watch, Samsung na Google hawana mpinzani. Designing zao ni za sayari nyingine kabisa.

images (1).jpeg
images (2).jpeg


Binafsi navutiwa sana na hizi Smart watch za Android hasa kutoka Google na Samsung.

Apple nadhani kitu kinaitwa designing sio kipaumbele chake.
 
Aisee...nimetoka kuchungulia Aliexpress naona zingine laki mpaka laki mbili na point au ni magaka??

kuna midosho yake pia inakuwa na majina ya kampuni nyingine.

mfano hii ya apple watch ultra,yapo ya lakini 120k,na elfu 30.
lakini yenyewe OG ni 2+mil.
IMG_2519.jpg
 
Achana iwatch habari nyingine kabisa.hizo watch google na samsung unaweza kuvaa mpaka ukasahau kuwa smart maana mzuka wa kuchezea chezea au kuangalia notification ni wa kichovu sana.
 
Back
Top Bottom