T The Evil Genius JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 6,017 Reaction score 19,506 Aug 9, 2023 #1 Kwa wale wapenzi wa hizi Smart watch, Samsung na Google hawana mpinzani. Designing zao ni za sayari nyingine kabisa. Binafsi navutiwa sana na hizi Smart watch za Android hasa kutoka Google na Samsung. Apple nadhani kitu kinaitwa designing sio kipaumbele chake.
Kwa wale wapenzi wa hizi Smart watch, Samsung na Google hawana mpinzani. Designing zao ni za sayari nyingine kabisa. Binafsi navutiwa sana na hizi Smart watch za Android hasa kutoka Google na Samsung. Apple nadhani kitu kinaitwa designing sio kipaumbele chake.
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 5,316 Reaction score 9,596 Aug 9, 2023 #2 Zinauzwa bei gani mkuu?
Real One JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 2,154 Reaction score 1,848 Aug 9, 2023 #3 APEFACE said: Zinauzwa bei gani mkuu? Click to expand... 1.2 m mpaka 1.4 Kwa Samsung watch 5
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 5,316 Reaction score 9,596 Aug 9, 2023 #4 Real One said: 1.2 m mpaka 1.4 Kwa Samsung watch 5 Click to expand... Aisee...nimetoka kuchungulia Aliexpress naona zingine laki mpaka laki mbili na point au ni magaka??
Real One said: 1.2 m mpaka 1.4 Kwa Samsung watch 5 Click to expand... Aisee...nimetoka kuchungulia Aliexpress naona zingine laki mpaka laki mbili na point au ni magaka??
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,611 Reaction score 2,881 Aug 9, 2023 #5 APEFACE said: Aisee...nimetoka kuchungulia Aliexpress naona zingine laki mpaka laki mbili na point au ni magaka?? Click to expand... labda used, au brand zingine.
APEFACE said: Aisee...nimetoka kuchungulia Aliexpress naona zingine laki mpaka laki mbili na point au ni magaka?? Click to expand... labda used, au brand zingine.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Aug 10, 2023 #6 APEFACE said: Aisee...nimetoka kuchungulia Aliexpress naona zingine laki mpaka laki mbili na point au ni magaka?? Click to expand... kuna midosho yake pia inakuwa na majina ya kampuni nyingine. mfano hii ya apple watch ultra,yapo ya lakini 120k,na elfu 30. lakini yenyewe OG ni 2+mil.
APEFACE said: Aisee...nimetoka kuchungulia Aliexpress naona zingine laki mpaka laki mbili na point au ni magaka?? Click to expand... kuna midosho yake pia inakuwa na majina ya kampuni nyingine. mfano hii ya apple watch ultra,yapo ya lakini 120k,na elfu 30. lakini yenyewe OG ni 2+mil.
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Aug 10, 2023 #7 Achana iwatch habari nyingine kabisa.hizo watch google na samsung unaweza kuvaa mpaka ukasahau kuwa smart maana mzuka wa kuchezea chezea au kuangalia notification ni wa kichovu sana.
Achana iwatch habari nyingine kabisa.hizo watch google na samsung unaweza kuvaa mpaka ukasahau kuwa smart maana mzuka wa kuchezea chezea au kuangalia notification ni wa kichovu sana.