Kwa soka la kibongo, Yanga wataonekana wameshindikana, tusubiri nje tuone

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Hapa bongo yanga wameshashinda gemu nje ya uwanja, nawaona wanakwenda kubeba ndoo tena msimu huu,

Kwanza ratiba ya ligi imewaweka pazuri, hili ni kosa Simba wamelifanya, mchezo wao yanga wa kutoa zawadi kwa yatima unawabeba sana ndani ya uwanja.

Inaonekana kama wanatoa kwa jamii lkn ukweli ni kuwa ni mambo ya nje ya uwanja, na wataendelea hivyo hivyo had wanamaliza msimu, ukifanya masihara wanatangaza ubingwa mzunguko wa kwanza.

Lakini naiona yanga bado sio timu nzuri, wanafanya sana makosa, huko CAF wataadhibiwa sana
 
Hapa bongo yanga wameshashinda gemu nje ya uwanja, nawaona wanakwenda kubeba ndoo tena msimu huu, kwanza ratiba ya ligi imewaweka pazuri, hili ni kosa Simba wamelifanya, mchezo wao yanga wa kutoa zawadi kwa yatima unawabeba sana ndani ya uwanja, inaonekana kama wanatoa kwa jamii lkn ukweli ni kuwa ni mambo ya nje ya uwanja, na wataendelea hivyo hivyo had wanamaliza msimu, ukifanya masihara wanatangaza ubingwa mzunguko wa kwanza, lkn naiona yanga bado sio timu nzuri, wanafanya sana makosa, huko CAF wataadhibiwa sana
Ni bora usiongelee suala la ratiba, yanga ndo timu iliyopangiwa ratiba ngumu kuliko simba, angalia mechi 3 simba kaanzia nyumbani, na mechi 3 pia atamalizia nyumbani, yanga mechi 2 kaanzia ugenini tena akiwa anatoka kucheza mechi ngumu ya dabi, akaenda kucheza kwenye kiwanja kigumu cha arusha, na bado mechi ya mwisho atamalizia mechi moja nyumbani na 2 ugenini, kinachoiokoa yanga ni ubora wa kikosi ilichonacho uwezi kuwazuia kirahisi rahisi ivyo, wangekuwa na kikosi kama cha wakina yikpe, molinga basi isingeweza kupata matokeo kwenye hizi mechi 2 za ugenini, ukiweka na upuuzi wa waamuzi
 
Sema huko cuf watawaadhibu sana🤣🤣🤣
 
kwahiyo Yanga anashindana na Simba tuu? vipi kuhusu kagera aliyesafiri kuja Dar kucheza na simba na Azam ambazo ziko hapo hapo? yani ulitaka ratiba ipangwe kwa kubalance simba na yanga
 
Kolo kapewa ratiba laini sana ili kumpa confidence. Yanga kwa kukomolewa za kwanza kapewa za ugenini na home ya kwanza anakutana na timu ngumu lambalamba.
 
We kweli ni utopolo, ni shabiki maandazi. Mechi hupangwa kwa draw, ni kama kamali au Karata, haipangwi kama unavyofikiri. Ukirusha shillingi inakoangukia ndiko kwako ni sawa na kuchagua upande wa goli, hakuna anaejipangia bali sarafu ya kichwa au mkia ndiyo hutoa majibu.
Ushauri wa bure, ushabiki wa Simba na Yanga usitutoe kuwa na fikra tulizipewa na Mungu, kiasi kwamba kwa sababu tu wewe ni shabiki wa Uto basi hata zile akili unakotoa kwa makusudi, hii siyo sawa. Na hapa nazungumzia kwa mashabiki wa pande zote( ila wewe ni case study). Kuongea mambo ya hovyo kwa makusudi.
Kagera Sugar kaanzia ugenini mechi tatu yaani Azam- Kagera, Simba- Kagera na mechi ya mwisho ni Geita-Gold-Kagera, je kaonewa?
 
Kwa jinsi kichwa ya mtoa masa ilivyojaa kinyesi huyo jamaa hata kuelewa atasema kuwa tff haiipendi yanga.
 
Hapa bongo yanga wameshashinda gemu nje ya uwanja, nawaona wanakwenda kubeba ndoo tena msimu huu, kwanza ratiba ya ligi imewaweka pazuri, hili ni kosa Simba wamelifanya, mchezo wao yanga wa kutoa zawadi kwa yatima unawabeba sana ndani ya uwanja, inaonekana kama wanatoa kwa jamii lkn ukweli ni kuwa ni mambo ya nje ya uwanja, na wataendelea hivyo hivyo had wanamaliza msimu, ukifanya masihara wanatangaza ubingwa mzunguko wa kwanza, lkn naiona yanga bado sio timu nzuri, wanafanya sana makosa, huko CAF wataadhibiwa sana
Leo jicho langu limejumlisha na kutoa majibu. Nimeangalia mechi zote za timu kubwa na kubaini utofauti wa Simba na Yanga ni matumizi ya akili na nguvu.
Wakati Simba wamewekeza kwenye akili ya mpira, Yanga wamewekeza kwenye nguvu.
Kimataifa ni akili zaidi nguvu kiasi.
 
Manara kashawajaza ujinga mashabiki wa utopolo wao kila kitu ni kulaumu tu.
 
Hawa jamaa sijawahi kuwaelewa hata kidogo. Hata wakibebwa wao ndo wa kwanza tena kulalamika . Sijui tatizo ni nini!!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Manara ametengeneza sumu tayari kama tff inawachukia yanga sasa hivi wanalalamikia ratiba kwamba simba inapendelewa hao ndo estadio the utopolosi
 
Simba ata ipendelewe Haina timu ya kutwaa ubingwa zaidi ya Tff kujidhalilisha.
Siri kubwa ya soka ni uwekezaji na si Juju.
 
Nimewaangalia mechi zao wanazocheza mfululizo kwa mkapa nikaamini moja kwa moja kuwa yanga anakwenda kubeba ndoo nyingine msimu huu, wanayo mapungufu mengi sana kiufundi, na mapungufu ayo yanaonekana wakiwa uwanja wa taifa vipi wakianza kutoka nje kwenye viwanja vigumu ambavyo avichezeki? Ninawaona wanakwenda kudondosha point nyingi viwanja vya ugenini
 
Leo jicho langu limejumlisha na kutoa majibu. Nimeangalia mechi zote za timu kubwa na kubaini utofauti wa Simba na Yanga ni matumizi ya akili na nguvu.
Wakati Simba wamewekeza kwenye akili ya mpira, Yanga wamewekeza kwenye nguvu.
Kimataifa ni akili zaidi nguvu kiasi.
Kama nguvu ndo zinaifanya timu icheze michezo 38 bila kupoteza basi iyo nguvu ni bora zaidi ya akili, maana wanaotumia akili mpaka sasa hivi awana cha kujivunia, wamepigwa nje ndani, makombe yote wamenyang'anywa wamebaki kuokoteza visababu vya ovyo ovyo wameshupaza shingo kutokubali uwezo na ubora wa wenzao walivyosajili kiufundi, Ni hasara sana kuwa na roho za husuda na chuki zinazidi kuwatumbukiza shimoni
 
Leo jicho langu limejumlisha na kutoa majibu. Nimeangalia mechi zote za timu kubwa na kubaini utofauti wa Simba na Yanga ni matumizi ya akili na nguvu.
Wakati Simba wamewekeza kwenye akili ya mpira, Yanga wamewekeza kwenye nguvu.
Kimataifa ni akili zaidi nguvu kiasi.
Huko kimataifa hua mnakuja na nini maana mikwara kibao hakuna hata medal yoyote
 
Back
Top Bottom