Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Hapa bongo yanga wameshashinda gemu nje ya uwanja, nawaona wanakwenda kubeba ndoo tena msimu huu,
Kwanza ratiba ya ligi imewaweka pazuri, hili ni kosa Simba wamelifanya, mchezo wao yanga wa kutoa zawadi kwa yatima unawabeba sana ndani ya uwanja.
Inaonekana kama wanatoa kwa jamii lkn ukweli ni kuwa ni mambo ya nje ya uwanja, na wataendelea hivyo hivyo had wanamaliza msimu, ukifanya masihara wanatangaza ubingwa mzunguko wa kwanza.
Lakini naiona yanga bado sio timu nzuri, wanafanya sana makosa, huko CAF wataadhibiwa sana