Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Kwakweli kitendo cha Simba kupigwa na kuruhusu migoli mingi ugenini tunaomba kisiwe endelevu... et kwa kutegemea mechi za nyumbani utashinda.
Wanapofanya hivyo kwa stage ya makundi haina noma... ila kwa upande wa robo fainali na nusu fainali litabia hili likiendelea kuingia nusu fainali ni ndoto za mchana!
45min za kwanza Simba anacheza utafikiri kashinda daaaa.. kuja kustuka washapigwa viwili vya fasta! na bila Manula ina maana tungepigwa five oclock
Halafu kocha anatikisa kiberiti aone kina njiti ngapi daa!
Nasema tena kwa staiki hii ikiendelea hatutaweza kuchukua kombe ila ni kwa neema ya Mungu tyu!