Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Hakuna namna kupigwa mmepigwaAl ahly alikula 5 na mamelody sundown na akawa bingwa wa Africa sasa ww utopolo umeiona simba tu.
😂😂Mkuu hebu eleza kidogo, ni kombe la CUF ya Lipumba au hii CAF tunayoielewa ??
itakuwa hii pamoja na rivers unitedMkuu hebu eleza kidogo, ni kombe la CUF ya Lipumba au hii CAF tunayoielewa ??
Al ahly alikula 5 na mamelody sundown na akawa bingwa wa Africa sasa ww utopolo umeiona simba tu.
Hivi Al Ahly alivyopigwa 5 alichukua ubingwa? Si alitolewa kwa aggregate na hao waliompiga 5? Ukifungwa magoli mengi mechi ya kwanza kupindus meza ni ngumu mno. Na ndio maana pamoja na uzuri alionao Al Ahly lakini katolewa kwa kuruhusu magoli mengiAl ahly alikula 5 na mamelody sundown na akawa bingwa wa Africa sasa ww utopolo umeiona simba tu.
Pengine wewe Ni mgeni ktk mpira. Simba na berkane ktk hili kundi ndiyo ambao hadi sasa wameweza kupata japo droo moja ugenini.Kwakweli kitendo cha Simba kupigwa na kuruhusu migoli mingi ugenini tunaomba kisiwe endelevu... et kwa kutegemea mechi za nyumbani utashinda.
Wanapofanya hivyo kwa stage ya makundi haina noma... ila kwa upande wa robo fainali na nusu fainali litabia hili likiendelea kuingia nusu fainali ni ndoto za mchana!
45min za kwanza Simba anacheza utafikiri kashinda daaaa.. kuja kustuka washapigwa viwili vya fasta! na bila Manula ina maana tungepigwa five oclock
Halafu kocha anatikisa kiberiti aone kina njiti ngapi daa!
Nasema tena kwa staiki hii ikiendelea hatutaweza kuchukua kombe ila ni kwa neema ya Mungu tyu!
kwani Manula alikuwa amepangwa uwanjani kuichezea timu gani?... bila Manula ina maana tungepigwa five oclock
Vipigo anavyopata Al ahly vinakuwa havina muendelezo ndio tofauti iliyopo.Al ahly alikula 5 na mamelody sundown na akawa bingwa wa Africa sasa ww utopolo umeiona simba tu.
Sawa, kulingana na hisia zakoKwakweli kitendo cha Simba kupigwa na kuruhusu migoli mingi ugenini tunaomba kisiwe endelevu... et kwa kutegemea mechi za nyumbani utashinda.
Wanapofanya hivyo kwa stage ya makundi haina noma... ila kwa upande wa robo fainali na nusu fainali litabia hili likiendelea kuingia nusu fainali ni ndoto za mchana!
45min za kwanza Simba anacheza utafikiri kashinda daaaa.. kuja kustuka washapigwa viwili vya fasta! na bila Manula ina maana tungepigwa five oclock
Halafu kocha anatikisa kiberiti aone kina njiti ngapi daa!
Nasema tena kwa staiki hii ikiendelea hatutaweza kuchukua kombe ila ni kwa neema ya Mungu tyu!
Bora anaepigwa na kujifunza pia, ila asiyeshiriki kabisa atapoingia tu, anachomolewa maana hakuna anachojua, "Return Of Champions"Yes kwa staili hii simba invyocheza inabidi ijirekebishe Hasa kwa upande wa mabeki na fowadi.nawapongeza sana hiz beki za pembeni kwan kadri Siku zinavyoenda zina zidi kuimalika lakin Jana zilifunguliwa kirahisi sana .huenda gemu ilikuwa ngumu upande wao.lakin Jana walicheza kwa ubora wachini sana.pia ukiangalia simba hufany mara nying vizur pale beki zao za pembeni zipo vizuri...upande wa fowadi simba inatakiwa isajili fowadi za maana. accuracy za Maddie kagere ,bocco zimepunguaa.sanaa
Kiukweli Jana simba ilicheza ovyo sana...na isingekuwa Manula tungepigwa khamsa
Bora anaepigwa na kujifunza pia, ila asiyeshiriki kabisa atapoingia tu, anachomolewa maana hakuna anachojua, "Return Of Champions"k
Ingawa tunasema kwamba simba ilicheza chini ya kiwango lakin kwa bongo huwezi ilinganisha na timu yoyote kwenye suala mechi za kimtaifa.
wataje kwa majina kama kweli unafanya hiphopMkuu, unazungumzia kuchukua kombe wakati hata hiyo hatua ya makundi hatujavuka?
Kuna wachezaji kadhaa hawana hadhi ya kuchezea Simba kwa ngazi ya kimataifa