Kwa staili hii tutatoka kweli?

Nitengeneze ya Hoteli au nipotezee tuu

  • Potezea

    Votes: 0 0.0%
  • Tengeneza

    Votes: 4 100.0%
  • Sijui

    Votes: 1 25.0%

  • Total voters
    4
  • Poll closed .

Hiyo ni changamoto
ukizubaa mtu mwingine ataibeba na kuiboresha

ondoa mentality kuwa unawasaidia watu
weka mentality kuwa umekuja na kitu mapema kuliko wakati wake
sasa wakati unakimbia mno
soon utashangaa watu wameiba idea yako na wanatengeneza mabilioni

Yahoo walivyoambiwa kuna kikampuni kinaitwa Google kinakuja na search engine
walicheka sana kwa dharau
hata google walipoiomba Yahoo iwanunue kwa one milion dollars tu Yahoo waligoma
leo Google wana thamani ya zaidi ya dollar bilion 300 na yahoo wameuzwa kwa
dollar billion 4 tu....

we umetangulia....hakikisha unafika
 
lipia tangazo

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Sawa sawa kaka... Nitarudi mezani kuyapanga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sawa kaka... Nitarudi mezani kuyapanga...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hao wote wanaokuambia uwasaie kuweka picha
wasaidie ili na wewe uweze ku experience difficulties za users...uweze kuiboresha..

kumbuka watu wengi ni fuata upepo....hadi mtandao wako uwe maarufu level ya kupatana au zoomtanzania ndo wattu watakuelewa
kwa sasa kubali changamoto
 
Ila boss nmecheki website uko poa...for enterprenuers hii spirit ungeenda tu Extramile na kuwapigia Picha once ikikioff watakuja tu...its one thing kua na kipaji ila marketing ndo inatuumiza....ps hiyo idea ya [HASHTAG]#booking[/HASHTAG].com Bonge LA idea inabidi tutafute guest kama uber aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani kaka... Natatafuta vijana kadhaa waifanye hiyo kazi kuingiza magari.
Online booking yes ni good idea, inahitaje nikaze kweli kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…