Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waswahili huwa wanasema 'Kula nyama nyamaza' ila huu msemo kwa wengi ni kauli tu, utekelezaji sifuri[emoji23]
HUKUNA WATU WANAFIKI KM WAANDISHI WA HABARI WA TANZANIA HAWA WOTE NI WACHUMIA TUMBO WENGI NI VILAZAHuyu muandishi kapewa nyama ya mbuzi za kula siku mbili tatu anaanza kuongea maneno ya kusifia huyo mbunge wake Tabasamu.
Je, tasnia ndio inakufa kwa kupata waandishi ambao hawatajua kazi zao za msingi na kujipendekeza kwa wagombea.
Kama hali inakuwa hivi je waandishi watafanya kazi yao ya kuwakumbusha wajibu viongozi?
View attachment 2859824
Mbona Radio One na Wapo Radio ni jambo la kawaida.Huyu muandishi kapewa nyama ya mbuzi za kula siku mbili tatu anaanza kuongea maneno ya kusifia huyo mbunge wake Tabasamu.