Kwa muda sasa nimekuwa nafatilia .maendeleo ya kijana wetu farid musa aliyeko timu ya tenerife ya spain. Nimejaribu kufuatilia perfomance ya timu hyo hasa kwa nafasi anazocheza farid nimegundua nafasi izo zina mafundi wa hali ya juu na farid km anataka namba inabidi afanye juhudi kubwa mno!! Na hii inadhihirisha kucheza mpira ulaya c kitu rahisi km wengi wanavyodhani ,inahitajika kujitoa kwa nguvu zote ndyo upate nafasi.....sasa kila nikiangalia kiwango cha farid akija kuchezea taifa stars naona kbsa kiwango bado sana kiasi kwamba ananifanya niwe na wasiwasi km atatusua hadi kikosi cha kwanza! Ukiachana na hilo changamoto nyingine kwake nadhani ameenda kwny nchi ambayo ina utitiri wa vipaji kiasi kwamba ili upate nafasi inatakiwa uwe na vitu vingi vya ziada kitu ambacho sikioni kwa hyu mdogo wetu,....kwa hyo siku mkiskia mambo yamekuwa magumu spain anatka kurudi bongo msishangae zaidi ya hpo ajiongeze aende sweden au denmark