Balance of trade - Thamani ya pesa ya bidhaa zinazonunuliwa kutoka Kenya ni kubwa kuliko bidhaa za Tanzania zinazouzwa Kenya, Kwa upeo mdogo wa kielimu watanzania wengi tumekomalia kwenye kuwauzia Mahindi lakini ukichunguza vizuri hapa kwetu kuna bidhaa nyingi sana za Kenya kuanzia kiwi, Viberiti, sabuni, mafuta ya mwilini, Blueband, pipi na mahitaji mengi sana.
Uwekezaji - Wakenya wengi wamefanya uwekezaji Tanzania wanakula mema ya rasilimali zetu, misituni wamejaa wanachanja mbao wanauza ulaya, Soko la maparachichi Kenya ni kinara kwa kuuza China na ulaya lakini ukichunguza ni wakenya wenye mashamba hapa Tanzania pamoja na madalali, Benki za Kenya zina share nzuri kwenye banking industry ya Tanzania mfano Equity Bank, ukija kwenye madini mengi yanasafirishwa Kenya kuuzwa, Kinara wa kuuza Tanzanite amewahi kuwa Kenya. Kiufupi tunajisifia tuna rasili mali lakini wakenya hufaidika nazo zaidi.
Diaspora - Kuna wakenya wengi sana Marekani, Ulaya, Asia, n.k. Lugha huwarahisishia kwenda majuu, ukiongeza na kupenda elimu kumesaidia wengi kupata kazi nzuri kama madaktari, wanasheria, maprofesa, n.k. Nyuma ya wanigeria na waghana, wanaofuatia kwenye black diaspora waliofanikiwa zaidi ni wakenya, Kuna wakenya kibao mitandao ya kijamii wana fundisha wenzao jinsi ya kwenda nje, Hapa bongo ukiingia tiktok ni comedy
Uwekezaji kutoka makampuni ya Nje - Kampuni kibao za nje zimeweka vianda Kenya kwa kuzingatia factors nyingi ikiwemo population kubwa iliyo elimika kwenye taaluma kibao, kitu kingine ni wepesi wa kuelewana kwa Lugha , Mazingira rafiki ya uwekezaji, n.k. kuna kampuni nyingi sana za ulaya zime invest Kenya.
Elimu - Wapo mbali mno, Ukiangalia hata mahojiano kwenye maandamano ya Gen Z ungeweza kuona jinsi walivyoelimika, Kwenye mashindano kadhaa mfano kulikuwa na Airtel University Challenge wakenya walitukimbiza mpaka unatamani kuzima TV, , Ukienda mitandao ya kijamii wanaweka comments zilizoshiba points tofauti na sisi watu wanagombania likes, Hizi shule za english medium ambazo wenye uwezo hulipia watoto kusoma waasisi wakuu ni walimu kutoka Kenya.
Lugha - Hapa tumepitwa mbali sana, Watanzania wengi mpaka Phd za Udsm lugha ni Tatizo, Lugha unayosomea kuanzia sekondari mpaka Phd inakupiga chenga utaishia kukariri vingi darasani ndio sababu ya elimu yetu kuwa poor, Watanzania wakifika ulaya au Marekani huwa ni wa kuonewa huruma vile lugha huwapa shida, Lugha inakufungulia ulimwengu kwa kiasi kikubwa sana, huwezi kuchukulia poa Language which is a means of communication.
Ajira -Tatizo la ajira ndani ya nchi wameanza kutumia advantage walizonazo, Ukienda Un pale Arusha kuna wakenya wengi wamejaa, Waziri wa ajira Kenya, Mr Alfred Mutua anapambana kila kukicha kuwatafutia wakenya ajira nhe ya nchi, Account yake ya Facebook imejaa post za nafasi za Kazi kwa Wakenya, Kenya imeweza kutengeneza mazingira mazuri kwa wawekezaji kutoka Ulaya, Marekani, n.k, kufungua makampuni huku wakenye wakifaidika na ajira, Mwaka huu Ujerumani imeingia makubaliano ya kuchukau wakenya laki 2 na nusu kwenye kazi za kitaaluma na zisizo za kitaaluma, Ukienda nchi za nje walimu wengi wa Kiswahili ni wakenya.