Kwa strategie walizojiwekea Mbeya Kwanza game zidi ya Yanga hapa Songea, naamini yanga hamchomoki

Mtaule mgunda

Senior Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
193
Reaction score
61
Nikiwa maeneo fulani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya Yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
 
Nikiwa maeneo flani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
Wafungwe tuu
 
Umekutana nao waanza kukuambia !? Unafadika na nini kwenye uongo?
 
Nikiwa maeneo flani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
Wakijilinda mwanzo mwisho tutawafunga kirahisi mno...kiufupi ni ngumu kuizuia yanga hii
 
We mleta mada zwazwa haswa. Yanga Hana mechi na Mbeya Kwanza Songea, Ila Mechi hii itachezwa BWM au Lupaso stadium hapa jijini DSM
 
Soma title ya thread yako alafu Rudi kunikosoa
 
Nikiwa maeneo flani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
Kwamba game 2 Yanga anacheza away?
 
Nikiwa maeneo flani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
aliyekwambia nan kwamba ukilinda lango hufungwi?
 
Nikiwa maeneo fulani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya Yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
Lijinga wewe, yaani Yanga acheze mechi zote na Mbeya kwanza ugenini? Waambie wanakuja kwa Mkapa wajiandae! Mwaka huu wanashuka daraja wampishe Ihefu!
 
Lakn mbeya kwanza wakicheza kama prison wataondoka hata na point 1
 
Nikiwa maeneo fulani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya Yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
Yanga ana mechi na Mbeya City Sokoine Stadium Mbeya! Mbeya Kwanza atacheza na Yanga kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa DSM! Na siyo Songea.

Na kwa kile kikosi chake kibovu, na kilichojikatia tamaa ya kuendelea kubakia ligi kuu! Lazima kipigwe goli za kutosha tu. Hata wapewe msaada gani na wazee wa juju, bado kipigo kiko palepale.
 
Yametimia

Back
Top Bottom