Kwa style hii ni mwanamke gani atamkataaa Nasib Abdul Juma(Diamond Platnumz)?

Hamna mahusiano kiki ya show ya Kenya na Demu huyo ndiye muandaji Mombasa na Nairobi,kiingilio Ksh 5000 (Tsh 100,000) na Ksh 4000 (Tsh 80000) wanatengeneza hela tu.
Mond huwez kukaa kaa mbele yake mapaja wazi na kumkumbatia kumbatia asimgonge,anyway watajuana wenyewe bana na drama zao maisha yenyewe magumu haya.
 
Hamna mahusiano kiki ya show ya Kenya na Demu huyo ndiye muandaji Mombasa na Nairobi,kiingilio Ksh 5000 (Tsh 100,000) na Ksh 4000 (Tsh 80000) wanatengeneza hela tu.
Kwa hiyo unataka kusema hizo falanga ni za huyo demu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…