Bilaly Junior
Member
- Jan 28, 2015
- 41
- 33
Jim ni ujuha mkuuTusipende kubeza gym kwa kisingizio cha pesa... Ni ujuha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jim ni ujuha mkuuTusipende kubeza gym kwa kisingizio cha pesa... Ni ujuha
Braza kwani unateseka??Wenye hela hawazianiki kihivyo,,, lini umemkuta Bahresa kaweka hela mezani anahesabu.
Pia ulimbukeni na kukosa akili kuweka hela hadharani namna hiyo. Technologia ilivyokuwa sioni kama kuna haja ya kuonyesha hela. Hela nyingi.sasa hv zipo katika.mfumo wa electronic na siyo hard cash. Kuweka hela nyingi kwenye hard cash ni kujihatarishia maisha tu.
"makombo" ya King na ndio aliyemuimba kwenye KadogoNa kuliwa analiwa
Aliekufundisha ujinga huu mpuuze , maisha haya usibahatishe ishi kwa furaha muhimu usivunje katiba ya nchiHiyo mnayojidanganya kuwa mnaiona dunia stressfree ndio mnaishia kubwia unga halafu mnakuwa MATEJA permanently!!