Kwa style hii ni mwanamke gani atamkataaa Nasib Abdul Juma(Diamond Platnumz)?

Kwa style hii ni mwanamke gani atamkataaa Nasib Abdul Juma(Diamond Platnumz)?

Acha Nile Bata kwa kidogo changu, maisha yenyewe mafupi sijui tarehe yangu
 
Wenye hela hawazianiki kihivyo,,, lini umemkuta Bahresa kaweka hela mezani anahesabu.

Pia ulimbukeni na kukosa akili kuweka hela hadharani namna hiyo. Technologia ilivyokuwa sioni kama kuna haja ya kuonyesha hela. Hela nyingi.sasa hv zipo katika.mfumo wa electronic na siyo hard cash. Kuweka hela nyingi kwenye hard cash ni kujihatarishia maisha tu.
Braza kwani unateseka??
 
Hiyo mnayojidanganya kuwa mnaiona dunia stressfree ndio mnaishia kubwia unga halafu mnakuwa MATEJA permanently!!
Aliekufundisha ujinga huu mpuuze , maisha haya usibahatishe ishi kwa furaha muhimu usivunje katiba ya nchi
 
mkuuu we tafuta hela tu la sivyo utabaki kumlaumu kijana mwenzako bure tu#tafuta hela
 
Write your reply...Utaambiwa Ooo huna adabu, una wivu, huna malezi ya pande mbili mara ww umezuiwa kuonyesha zakooo team wcb lazima wakujibu hivyo ila kifupi ni ushamba na Ulimbukeni unamtesa mchizi wetu! mfano mdogo kaweka kinywaji kwenye glas lkn bado anakunywa iliyokwenye chupa si ulofa tuu huo
 
Back
Top Bottom