Kwa Submersible Pump ya 0.5 HP, nahitaji generator la KVA ngapi?

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Maeneo niliyopo hakuna umeme, ila maji ya kisima yapo.

Nataka nitumie submersible pump (pampu ya kisima) ya 0.5 HP.

Je, ni minimum, angalau nipate generator la KVA ngapi?

Na bei ya generator husika ina_range kiasi gani (kwa Dar es Salaam)?
 
Nataka nitumie submersible pump (pampu ya kisima) ya 0.5 HP,

Je, ni minimum, angalau nipate generator la KVA ngapi?
Na bei ya generator husika ina_range kiasi gani (kwa Dar es Salaam)?

Kwa nini usitafute inayotumia umeme wa jua?
Nikimaanisha ‘solar’.
 
Hii sina taarifa nayo za kina,
Ingawa kuna fundi wa visima nilimsikia akisema kuwa pump ya sola ni nzuri, ila gharama yake ni kubwa kuliko ya umeme.

Vipi mkuu una ujuzi na hizi pump za solar ili unipe ABCs zake?
 
Karibu

Ni kweli pump ya solar ni gharama katika manunuzi ila faida yake ni kwamba ukinunua ,umemaliza huna gharama kubwa za uendeshaji ukilinganisha na pump za mafuta ambayo bei ya mafuta inapanda kila kukicha.
Ninaweza kukuuzia pump ya solar kwa 3.8 milion tu.
Pump kutoka ujerumani ,
 
Duh aisee..kisima hiki complete
 
Maeneo niliyopo hakuna umeme, ila maji ya kisima yapo.

Nataka nitumie submersible pump (pampu ya kisima) ya 0.5 HP.

Je, ni minimum, angalau nipate generator la KVA ngapi?

Na bei ya generator husika ina_range kiasi gani (kwa Dar es Salaam)?
2 KVA
 
Kama hauna matumizi mengine weka KVA 2 kama unataka na matumizi ya vitu vingine siku za baadae na nguvu ipo chukua kva 5
 
Natumae mleta mada ulipata muongozo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…