Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maeneo niliyopo hakuna umeme, ila maji ya kisima yapo.
Nataka nitumie submersible pump (pampu ya kisima) ya 0.5 HP,
Je, ni minimum, angalau nipate generator la KVA ngapi?
Na bei ya generator husika ina_range kiasi gani (kwa Dar es Salaam)?
Hii sina taarifa nayo za kina,Kwa nini usitafute inayotumia umeme wa jua?
Nikimaanisha ‘solar’.
Ni kweli pump ya solar ni gharama katika manunuzi ila faida yake ni kwamba ukinunua ,umemaliza huna gharama kubwa za uendeshaji ukilinganisha na pump za mafuta ambayo bei ya mafuta inapanda kila kukicha.Hii sina taarifa nayo za kina,
Ingawa kuna fundi wa visima nilimsikia akisema kuwa pump ya sola ni nzuri, ila gharama yake ni kubwa kuliko ya umeme.
Vipi mkuu una ujuzi na hizi pump za solar ili unipe ABCs zake?
Duh aisee..kisima hiki completeKaribu
Ni kweli pump ya solar ni gharama katika manunuzi ila faida yake ni kwamba ukinunua ,umemaliza huna gharama kubwa za uendeshaji ukilinganisha na pump za mafuta ambayo bei ya mafuta inapanda kila kukicha.
Ninaweza kukuuzia pump ya solar kwa 3.8 milion tu.
Pump kutoka ujerumani ,View attachment 2178505
Ndo hivyo kila bidhaa inawalengwa..Duh aisee..kisima hiki complete
2 KVAMaeneo niliyopo hakuna umeme, ila maji ya kisima yapo.
Nataka nitumie submersible pump (pampu ya kisima) ya 0.5 HP.
Je, ni minimum, angalau nipate generator la KVA ngapi?
Na bei ya generator husika ina_range kiasi gani (kwa Dar es Salaam)?