Kwa Taaabu Fiorentina yampiga Mtu goli 21 kwa Mtungi

Rajab_Omar

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Posts
16,482
Reaction score
27,182
Club ya Fiorentina ya Nchini Italy leo hii imeonesha umwamba wake kwa kumchakaza Val di Vassa Team goli 21 - 0 bila ya huruma kwa wastani wa kupata goli kila baada ya dakika 4.45.
 
Amecheza na timu hata haijulikani iko daraja la ngapi.

Ht goal 8
2nd half 13

Ukiona game hata bookmakers hawajaiweka hiyo game ni zile timu inacheza match za kirafiki na timu za mchangani kabisa.

Maana game nyingi bookmaker wasipoziweka huwa na magoli si chini ya 8
Club ya Fiorentina ya Nchini Italy leo hii imeonesha umwamba wake kwa kumchakaza Val di Vassa Team goli 21 - 0 bila ya huruma kwa wastani wa kupata goli kila baada ya dakika 4.45.
 
Nilijua tu comment yako itakuja kwenye jicho la muhindi zaidi!
 
Sijui lini na sisi timu zetu zitapata hiyo bahati ya kucheza hizo game za kirafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…