Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Club ya Fiorentina ya Nchini Italy leo hii imeonesha umwamba wake kwa kumchakaza Val di Vassa Team goli 21 - 0 bila ya huruma kwa wastani wa kupata goli kila baada ya dakika 4.45.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu inamis.Habari yako haijakamilika
Club ya Fiorentina ya Nchini Italy leo hii imeonesha umwamba wake kwa kumchakaza Val di Vassa Team goli 21 - 0 bila ya huruma kwa wastani wa kupata goli kila baada ya dakika 4.45.
Nilijua tu comment yako itakuja kwenye jicho la muhindi zaidi!Amecheza na timu hata haijulikani iko daraja la ngapi.
Ht goal 8
2nd half 13
Ukiona game hata bookmakers hawajaiweka hiyo game ni zile timu inacheza match za kirafiki na timu za mchangani kabisa.
Maana game nyingi bookmaker wasipoziweka huwa na magoli si chini ya 8
Mfano leo Portsmouth kampiga mtu 11-0
Borrusia Monchenglabach dkk ya 70+ 8-0
Fc Koln kampiga mtu 16-0
Ishawah chezwa na Sevilla tukapanga tokeo na kigawana magoliSijui lini na sisi timu zetu zitapata hiyo bahati ya kucheza hizo game za kirafiki
Ishawah chezwa na Sevilla tukapanga tokeo na kigawana magoli
Pole Sana.Mabakuli FC utawajuwa tu!